Mwanzo / Duka la Mtandaoni / Fremu ya Kawaida ya Mtindo wa Ray
Fremu ya Kawaida ya Mtindo wa Ray
TSh 85,000
Fremu ya browline yenye ukingo mzito juu na chuma chembamba chini. Ina mvuto na mwonekano wa kiofisi kidogo — chaguo zuri kama unataka miwani yako iwe sehemu ya jinsi unavyojionyesha.
- Fremu
- Nyenzo: Acetate & metal
- Umbo: browline