Doha Optical Centre

Mwanzo / Duka la Mtandaoni / Fremu ya Titanium ya Kilimanjaro

Fremu ya Titanium ya Kilimanjaro

Fremu ya Titanium ya Kilimanjaro

TSh 145,000

Titanium, hivyo ni nyepesi kiasi cha kusahau kuwa unayo, na inapinda vizuri hata ukikalia bila kuvunjika. Kwa yeyote anayevaa miwani kutoka asubuhi hadi usiku.

  • Fremu
  • Nyenzo: Titanium
  • Umbo: rectangle

← Rudi dukani