Doha Optical Centre

Mwanzo / Duka la Mtandaoni / Fremu Nyembamba ya Chuma ya Kariakoo

Fremu Nyembamba ya Chuma ya Kariakoo

Fremu Nyembamba ya Chuma ya Kariakoo

TSh 58,000

Chuma chembamba cha rangi ya dhahabu katika umbo la mviringo laini. Ndiyo fremu isiyojionyesha zaidi tuliyonayo — huchaguliwa zaidi na wateja wanaopenda hakuna anayegundua kuwa wanavaa miwani.

  • Fremu
  • Nyenzo: Stainless steel
  • Umbo: oval

← Rudi dukani