Mwanzo / Duka la Mtandaoni / Bahari Aviator yenye Polarised
Bahari Aviator yenye Polarised
TSh 135,000
Miwani ya aviator yenye polarised iliyoundwa kwa ajili ya mwanga unaong’aa kutoka majini na barabarani. Imepewa jina la pwani, na hii ndiyo jozi tunayopendekeza kwa safari ya barabara ya Dar–Bagamoyo.
- Miwani ya Jua
- Nyenzo: Metal
- Umbo: aviator